Fareed Kubanda

Fareed Kubanda @therealfidq

Watch ( FRESH ) here!! 👇🏿
https://youtu.be/MM5CYmTP0M8

Eti ndugu zangu NDONDO ilikua kubwa kuliko leo hapa MWANZA!!!?? Cc @shaffih
Follow my snaps @therealfidq
Alhamisi Hii @OpenMic_Thursday inakuja hivi: Show nzima inasimamiwa na mtoto mkali @FEZAkessy pamoja na @OSCARnyerere. Special Guest ni #Nguli #MkaliWaHiziKazi @JAYMOEfamous. Usisahau kutupia kwenye Red Carpet atasimama @ms_ammyrose. Kiwanja ni pale pale @micasaloungeTABATA. Washiriki ni zaidi ya #25. Vipengele ni • Music • Freestyle Battle •Comedy • Poetry SUPPORTED BY: @cheusidawatv @bigmoyocorp @micasalounge
KAHAMA... #GrandClosing
KAHAMA.. Asanteni sana kwa ile LOVE!! Mbarikiwe zaidi••• #GrandClosing 💪🏿
MUSOMA... asanteni sana kwa ile LOVE!! Mbarikiwe sana 🙏🏿 #tigofiesta2017
SAFARI•••
Legacy lives forever..!!!
Koolin na Nyang'au Mtiifu @adamchomvu
Oh Yeees ! Wiki hii @OpenMic_Thursday tuna kitu tofauti #OMTSpecial #DadazOnTheMic. Wakali kama @ze_city @tammy_thebaddest @chemical_tz ndani ya nyumba na wakali wengine kibao. Show nzima inakuwa hosted na @WAKAZImusic x @oscarnyerere na @djstee255. Surprises za kutosha. Washiriki ni zaidi ya 20. Kazi kwako. Kiwanja ni pale pale @micasaloungetabata 🎶🔥 POWERED BY: @cheusidawatv @bigmoyocorp @micasalounge
@tammy_thebaddest kwenye @openmic_thursday ya wiki hii.. be there!!
Ni ukweli GAME ya HIP HOP imetawaliwa na vidume kila kona, lakini wapo akina dada kama @ze_city ambao nao wana nafasi zao ndani yake... njoo umshuhudie alhamisi hii kwenye @openmic_thursday pale @micasaloungetabata kwa hisani ya @cheusidawatv @bigmoyocorp na @micasalounge
Huyu ndio yule jamaa aliyechora ile picha yenye sura yangu ambayo ililipiwa kisha nikapewa kama zawadi siku ya bday yangu na watu wangu wa #FidFam .. zawadi ambayo nimeahidi kuitunza na kuithamini milele... leo ni bday yake.. naomba mnisaidie kumuwish tafadhali @moda_artz @moda_artz
Huyu @fidq_words @fidq_words @fidq_words sijui ni nani lakini kiukweli anajitahidi sana.. fanyeni kumfollow wadau 🙏🏿
Ujinga ni: kujifanya wewe ni MTU USIOJULIKANA wakati SURA YAKO SIO NGENI••
MR K•U•B•A•N•D•A
#AboutLastThursday our special guest @rosa_ree showing her lyrical prowess @openmic_thursday MAD LIT it was!!! 🔥🔥🔥
Brother @jcbwatengwa Asante sana kwa kuona event kama ya @openmic_thursday inafaa kuwepo na ARUSHA pia.. Mimi na team yangu ya #OMT tupo tayari kukupa ushirikiano kama utahitaji chochote toka kwetu, hakika wewe unaweza kulisimamia vyema hili suala pande hizo na matunda yakaonekana kama ambavyo yameanza kuonekana huku— shukrani nyingine zikufikie @director_tonnytrigger kwa kuuona umuhimu na kui- acknowledge movement nzima ya OPEN MIC THURSDAY kwa kupitia comment yako.. I thank GOD for you my brothers!! ✊🏿 (c) @fidictionary •••••••••••••••••••••••••••••••••••• ( Upo Dar na ungependelea kushiriki OPEN MIC THURSDAY wiki hii? Wasiliana na sisi kwa namba hii 0719456637 )
TANGAZO: Wale wa @itunes na @applemusic #Propaganda inapatikana huko sasa..!! ( pia ninajua kama wengi wenu hamkupata nafasi ya kuisikia album yangu ya kwanza inayosemekana kuwa ni CLASSIC iitwayo---> VINA MWANZO KATI NA MWISHO.. hii pia itapatikana huko soon )