#watakoma 2.584K Posts

The face u make wen u miss ur bae๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” #model #modelcardozo #mulran #bbymama #watakoma
Duh... #watakoma
MAREKANI mala yamwisho walishuhudia hili tukio Mwaka 1979. Leo hii Tarehe 21|8|2017 wanashuhudia tena kwa mara nyingine KUPATWA KWA JUA (Total Solar eclipse). Yaani MWEZI unakua katikati ya JUA na DUNIA. Hii ni kutoka NASA, inarusha LIVE muda huu Vituo mbali mbali vya Habari. Nimechelewa kidogo kuwarushia lakini bado inaendelea muda huu. #Chakustaajabisha Follow ๐Ÿ‘‰ @chakustaajabisha
Maneno Tuweke Pembeni Tukasikilize Ili Balaa......Maana Kilichopo Humu Ndani Kuna Majibu Ya Maswali Yako Yoteee.... Jamaa Kaamua Iwe #Fresh Maana Maneno Yamekuwa Mengi Sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ It's #FreshRemix by @therealfidq Ft @diamondplatnumz & @rayvanny Tembelea www.wasafi.com @wasafidotcom Sasa Ukichelewa Utakuta Wenzako Wamemaliza ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ #WasafiDotCom #WhereTheHitsBelongs . . [LIKE ๐Ÿ‘ TAG ๐Ÿ‘ฅ COMMENT ๐Ÿ’ฌ SHARE โœ… . . ๐Ÿฆ… #mziwanda_platnumz #fidq #diamondplatnumz #rayvanny #ngosha #simbaa #vannyboy #kokoro #eneka #firedt #watakoma #wcb #wcb_wasafi #wasafi ๐Ÿ”ฅ
Blaza Nenga #BillNas umefuta comment yangu sawa, ila Beat umecopy and paste. Kusample sio mbaya ila kwanini ukatae ukiambiwa ukweli? Beat umecopy/umesaple kutoka kwa MARTIN GARRIX - NOW THAT I HAVE FOUND YOU. Ulichofanya wewe ni kubadili Tempo yako imeenda kidogo slow na baadhi ya vitu umeondoa na vichache umeongeza. Kusample sio mbaya ila usiwe unafuta comments, maana wewe na Producer wako #DaxoChali wote comment yangu mmefuta fastaaaa lol. ๐Ÿ˜‚ Mziki anaofanya Garrix Bongo hauskilizwi sana, ila wengine tunaskiliza nyimbo kibao ndomaana I have noticed within 5 secs. Sema sio mbaya Ngoma imekaa poa. #SinaJambo #NowThatIHaveFoundYou #MartinGarrix Cc @adamchomvu @bdozen @kenedytheremedy @lilommy @dullahplanet @soudybrown @shilawadu
In love with this song #watakoma
Endelea kutazama video yang ya #watakoma ft @countrboy kwa kulink bio yang hapo juu
ROGER, Kangaroo Staa ambae kajichukulia umaarufu mkubwa kutoka pande zote za Duniani kutokana na Nguvu na muonekano wake wakutisha wenye Umbile kubwa lenye Misuli mikubwa Kifuani, Mabegani, Shingoni na Mikononi (Biceps/Fore arms) akiwa na uzito wa kilo 89 na urefu wa Futi 6 - 7 kutoka mkiani hadi kichwani. Ukimuangalia unaweza ukahisi anaingia GYM kuinua Vyuma. Ana nguvu amekua akivunja na kukunjakunja vitu vigumu. Pia kafundishwa kupigana (kick boxing) kwasababu hata wanapokua Porini hupigana kwakutumia Mikono/Miguu kuoneshana Mabavu mbele ya Kangaroo Wanawake na mshindi ndio anakua Kiongozi wa Grupu. Amekua kivutio kikubwa kwa wanaokwenda kutalii THE KANGAROO SANCTUARY ALICE SPRINGS/NOTHERN TERRITORY ili kumuona. Alipatikana mwaka 2006 akiwa mtoto. Aliokotwa na CHRIS BROGLA baada yakumuona akiwa pembeni ya mwili wa Mama yake ambae alikua amekufa pembezoni mwa Barabara, akamchukua akaenda kumtunza. Alama nyekundu Shingoni ni kutokana na kujisungua kwa Wanawake zake na kweye Miti ili kua na Harufu fulani. Ni alama ambayo inawatambulisha Kangaroo wengine kua yeye ndio Kiongozi/Mmiliki wa Eneo hilo. #Chakustaajabisha Follow ๐Ÿ‘‰ @chakustaajabisha
Majirani, Majirani... Mnauza BUNDUKI mnanunua manati.. Kama sio uchizi ni nini? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ #ThisIsUnited #TheRedDevil's #ManchesterUnitedโšฝ #myteam
TuneIn now @kissfmTanzania #Dj_jclever on air๐ŸŽถ now #website www.kissfm.co.tz @amber___lulu #watakoma @brownpunch #koikoi
Amekamatwa kwa kosa laku DAB. Muimbahi/Mtangazaji wa TV na Muigizaji - ABDALLAH AL SHAHANI akiwa katika mualiko kwenye TAMASHA la Muziki Mjini TAIF akiendelea kutoa Burudani akaDab. Baada ya Video kusambaa Mtandaoni, Mamlaka ya SAUDI ARABIA ikatoa agizo akamatwe haraka sana. BBC NEWS iliripoti kwamba baadae Abdallah aliomba Radhi kupitia katika Account yake ya Twitter kwakuandika, โ€œI apologise to our respected government and to my audience for unintentionally and spontaneously making the dance move at Taif festival. Please accept my apology.โ€ Mamlaka ya kupambama na Madawa ya Kulevya huko Saudi ilikwishapiga Marufuku DAB kwani wanaamini ni Haram. Dab yenyewe kwanza hata hajaipatia sana. ๐Ÿ˜‚ #Chakustaajabisha Follow ๐Ÿ‘‰ @chakustaajabisha
#WATAKOMA.. ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
Pale unakuta mtu hajui kucheza..๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ huhu mkono tu ndo unacheza.๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ jomom @chezeaMuzik... #WATAKOMA.. @dorieejohnILOVEU
Duuu hujuu jamaa @aslayisihaka sasa amezidii ataki hata tupumue kaachia hit nyingine ngoma inaitwa #likizo kama bado hujaitizama link ipo kwa bio yakee @aslayisihaka @aslayisihaka piga kazi bro #watakoma #waonyeshee ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ