#usifositufanane 4.230K Posts

Waganga ni waongo, mi sirogi na nnamake Dow. Napiga tu michongoo and am Balling like am Lebron, Nigga Coming Very Soon #alwatankasema #semandiwooo Lete Idea kisha Kaa pale tulia Uone nnavyoidevolope na mapesa yanavyoingia Ah! Muhuni naingia, jiji navamia Cheki wanavyolia lia maana shughuli imewaishia Mi naballin kama Lebron, Ballin Ka Jordan Ballin ka Ronaldo, Ballin ka Zidane #Usifositufanane
Happy birthday @wardakidoti m/mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele #usifositufanane
Ngoma ya @madeeali Sema imeifungua planet bongo leo. Tupia ngoma unayokubali hapa mi napita nayo kwa hewa time hii. #semandiwooo #Usifositufanane
😈Tajiri Ninae Shukuru Au Fukara nisiye Kufuru NajUa Bata Najua Haso Mi Ni Njiwa na kunguru #usifositufanane 🎲
Sawa mama tunyooshe #usifositufanane
Miss mswanyama katika ubora wake 😍😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘 Sio kwa kupendeza huko swrry #usifositufanane #BOSS
🎲SHIKA hela NyiNgi ndo tuoNe Chembe #usifositufanane #ivyooooyan #kajiandae🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃💥💥💥💥💥💥 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 07 cantonaaaa
🎲Kuna vingi vya kumuomba mungu kabla ya kumuomba Utajir #usifositufanane #ijumaakareem🌙🌃
Mchawi kaolewa na mwizi cjui naniii atabaki nyumbani ucku........ #UsifosiTufanane....
😈MAISHA kama Ndoto #usifositufanane #ivyooooyan #👑
#Mungukwanza🙏🙏 Ninafani nyiiiiingi tu😁😁 #usifositufanane