#semandiwooo 566 Posts

Nikiwa kama dalali mkuu wa jiji la Dar Es Salaam tayari nimeshafikia makubaliano na huyu kijana kutoka Mbeya @sellementally ya kumuuzia Dar. Watani zangu wazaramo pesa yenu nipo nayo nasubiri tuu tukimaliza makabidhiano na huyu kijana niwakabidhi viwanja vyenu nilivyowanunulia nyote Kisarawe mkoani Pwani. Hapa mjini ngoja kwanza tulime matikiti..!!! #alwatankasema #semandiwooo
Ngoma ya @stevernb dawa imeifungua Planet Bongo leo kitu ambacho kinakufungulia nafasi kwako ya kuchagua ngoma unayoikubali hapa. Karibu #alwatankasema #semandiwooo
Ngoma ya @stevernb dawa imeifungua Planet Bongo leo kitu ambacho kinakufungulia nafasi kwako ya kuchagua ngoma unayoikubali hapa. Karibu #alwatankasema #semandiwooo
Kuna taarifa za uvumi kwamba Nay wa Mitego amepelekea MJ Records kumtimua mwanadada Nini kwenye Label yao. Producer wa Mj Daxo Chali amelithibitisha hilo kwa text alizomtumia Producer wa Planet Bongo Grayson ambazo zimethibitisha kwamba Nini hatypo tena Mj Records kutokana na kutoka kimapenzi na Nay wa Mitego. Huu mchongo upo YouTube kwenye account ya Wazo TV pita pale ukaitazame hii kama umeikosa Leo #alwatankasema #semandiwooo
Mh Tindu Lisu anawasalimia jamani..!!! #alwatankasema #semandiwooo
Planet Bongo ipo hewani. Ile ngoma unayohitaji kuisikia itupie hapa #alwatankasema #semandiwooo
Make Your Own History Here am making Mine #alwatankasema #semandiwooo
Hii picha imepigwa kwa hisani ya watu wa Hip Hop cc @wakazimuziki #alwatankasema #semandiwooo
Planet Bongo ipo hewani na leo tupo na @wakazimuziki tutajadili mambo mengi mno kuhusu Hip Hop, Dk 10 za maangamizi na muziki kwa ujumla..!!! Tune in muda huu..!!! #alwatankasema #semandiwooo
Ngoma ya @madeeali Sema imeifungua planet bongo leo. Tupia ngoma unayokubali hapa mi napita nayo kwa hewa time hii. #semandiwooo #Usifositufanane
Huyu dogo alishawahi kukalisha Mob ya wa2 pale kilingeni na kuibuka mshindi wa Freestyle. Mm nilikuepo na tumempatia nafasi leo kwenye dk 10 za maangamizi. Sijawahi kumuamini Rapper akaniangusha cha msingi tune Planet Bongo mapema ili package nzima ya show uipate Leo. #alwatankasema #semandiwooo
Kwa washkaji zangu tumefungamana na kua Mob kubwa ya vijana inayoendelea kuepo kaskazini. Shout out kwa Makamuzi 15 na DNG Squad Katalunya ni upendo mtupu..!!! #alwatankasema #semandiwooo
Nipo live kwa Bongo Fleva Top 20 mpaka 6:00 mchana saa sikiliza tupia comment yako hapa mi ntapita nayo kwa hewa. #alwatankasema #semandiwooo
Nipo live kwa Bongo Fleva Top 20 mpaka 6:00 mchana saa sikiliza tupia comment yako hapa mi ntapita nayo kwa hewa. #alwatankasema #semandiwooo
namba hazidanganyi kwa hiyo hata mm pia..!!! #alwatankasema #semandiwooo
Mchana wa leo ndani ya Planet Bongo heshima ya Bongo Fleva na Young Legend @mrbluebyser1988 wit Da Crazy Queen @fridaamaniofficial #alwatankasema #semandiwooo
Weekend Moody. Na iwe itavyokua #alwatankasema #semandiwooo
Leo kwenye heshima ya Bongo Fleva Tupo na Babylon Beez @mrbluebyser1988 aka kabyser so hakikisha una tune Planet Bongo 7:00 mpaka 10:00 jioni Leo. Washtue na mwanao wengine ili kitakachojiri tukipate wote. #alwatankasema #semandiwooo @RepostIt_app