Stamina Mr_bonventure

Stamina Mr_bonventure @staminashorwebwenzi

Fundi mistari Lyrical genious Malenga wa mji kasoro Hip hop is passion not fassion Punchlinist Akili nyingi umbo dogo
https://youtu.be/kNus_ylYEO8

Zigo linadondoka leo...na jini wetu mkata mkaa @mrbluebyser1988 πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜† litegee sikio aiseh
The winning team,,undefeatable,,the speacial one,,wasepaji wa vijiji #ROSTAM
Ngoma Mpya Roma N Stamina (ROSTAM) Tuiachie Lini??????? #dar live
Eneo la tukio leo ni DAR LIVE pekee #nofairplayjinokwajino
Mdogo angu @Brinnah_love kaona isiwe shida acha ajirekodi kwakua kashika nyimbo yoteeee....LOVE ME link on my bio #nofairplayjinokwajino
Oya @nacha_ousam @eddiemasali na @bearbeatz_tz niliwaambia zile soda zinalewesha tusinywe tenaπŸ˜…πŸ˜†πŸ˜‚ #nofairplayjinokwajino
@efmtanzania vs bongo fleva....nyamagana mwanza,leo kwanzia saa 10 jioni.usikose #nofairplayjinokwajino
Salute kwa mkubwa wa kazi @sir_nature
Mimi na mr allen tunawatakia usiku mwema ndugu zangu #nofairplayjinokwajino
Kupatwa kwa miwani @snuramushi na #roma
Sema mimi mrefu jamaniπŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜ #nofairplayjinokwajino
Yes New Hit From @momusic1 Ft @barakahtheprince_ #Usiniache Only On Your Favourite Music Distribution WasafiDotCom Go And Download It Now. Mzigo Mpya Wa Moto Kutoka Kwa Wakali Wa Bongo Flavor @momusic1 Ft @barakahtheprince_ #Usiniache #WasafiDotCom #WhereTheHitsBelong
Game time with brothers @itsevans @iceboyofficial @nacho_master07 na kilaza aliyekua anafungwa fungwa bwana kipara @eddiemasali #nofairplayjinokwajino
UVUMILIVU KWENYE MAISHA NDIO KILA KITU ASIKWAMBIE MTU! NA MUDA UNAPOFIKA MUNGU ATAKUNYOOSHEA MKONO NA UTAKOMBOKA MIKONONI MWA SHETANI.....MASWALI YA WANANCHI NA WAPENZI WOTE WA CHID BENZ #CHUMA KESHOKUTWA NDO YATAJIBIWA NA #MUDA KWENYE RADIO YAKO KESHOKUTWA ALKHAMIS....HUKU Q CHILLA AKITHIBITISHA UKWELI WOTE WA MAISHA YA KING KONG CHUMA SAUTI YA KILO ZOTE! @Chidibeenzchuma1 @ankoshabaha_baba_nayla @qchief @suka99 @kirirecordstz @bearbeatz_tz
Happy birthday beat devil producer @rashdoni
Happy birthday boss @musababaz mungu akupe maisha yenye baraka,mafanikio na amani tele.
Brand New Song #YaMoyoni kutoka kwa AMINI @amini_tz link kwenye Bio yake @amini_tz @amini_tz #Enjoy
Ahsante marehemu mama kwa kuacha upendo baina yetu katika familia,,dada yangu uliyeniachia ziwa nakupenda sana sista wangu mungu akupe afya njema na mafanikio tele.