Shabiki Mnazi

Shabiki Mnazi @shabiki_mnazi

Nimejitolea kukuletea karibu habari zote zinazohusu Michezo iwe Nje au Tz utazipata. βš½πŸ€βšΎβ›³πŸŽΎπŸ‰πŸ†

Everton v Gor Mahia saa 11:00 jioni uwanja wa Taifa, Dar es salaam @tzsportpesa #EvertonInTZ
Mshambuliaji Mganda Emmanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Simba
Beki wa klabu ya Liverpool Mamadou Sakho ametoa msaada wa mchele, unga, madaftari,peni katika kituo cha watoto yatima cha SOS huko,Zanzibar.
Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi kati ya New Zealand na Portugal. Amekuwa Mchezaji Bora wa mechi zote 3 za Makundi πŸ”₯
HT Mexico 1 - 1 Russia Araujo 30'. Samedov 25' #ConfedCup2017
HT New Zealand 0 - 2 Portugal Ronaldo 33'p B.Silva 38' #ConfedCup2017
Simba SC imetangaza kumsajili beki wa kulia Ally Shomary kutoka Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwili
JUMA NYOSSO ATIAMAE APATA USAJILI: Baada ya kumaliza adhabu yake ya kufungiwa kucheza soka kwa miaka miwili, beki Juma Nyosso amesajiliwa na klabu ya Kagera Sugar.
Klabu ya Yanga leo imetangaza kumsajili beki Haji Shaibu kutoka Taifa ya Jang'ombe kwa mkataba wa miaka miwili.
MAYANGA ATANGAZA TAIFA STARS YA COSAFA
AS Roma imemtangaza Eusebio Di Francesco kuwa kocha wao mpya akichukua mikoba ya Luciano Spaletti aliyetimkia Inter milan. Di Francesco,47, amesaini mkataba na Roma utakaomalizika mwaka 2019.
Leo Juni 14 ni siku ya Wachangia Damu duniani. Nyota wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ni moja ya watu wanaohamasisha uchangiaji wa damu .
Ratiba ya Ligi Kuu nchini England 2017/18 imetoka leo. Hizi ni mechi za ufunguzi
Mshambuliaji John Bocco amesajiliwa na klabu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili
Antoine Griezmann amesaini mkataba mpya Atletico Madrid utakaomfanya aitumikie timu hiyo mpaka mwaka 2022
Klabu ya AC Milan wamemsajili mshambulaiji Mreno Andre Silva kutoka Porto kwa ada inayoripotiwa kuwa ni Pauni milioni 35
Klabu ya Simba leo imetangaza kumsajili beki Shomari Kapombe kutoka Azam fc kwa mkataba wa miaka miwili.
GOR MAHIA MABINGWA SPORTPESA SUPER CUP 2017