DREAM BIG ( P-Funk Majani )

DREAM BIG ( P-Funk Majani ) @majani187

CEO of BongoRecords, The untouchable Music Composer / Producer, Best Sound Engineer in East Africa. Founding father of Bongo Flava music. Artist
https://youtu.be/7tk8vMtumsw

Tunaifanya vile haijawahi fanyika, Lake FM 102.5 Mwanza @lakefmmwanza inakuletea JUMA NATURE, P FUNK, HARMORAPA kwenye jukwaa la RAHAYAROCKCITY CONCERT kwa mara ya kwanza ndani ya jiji la miamba.Siku ya Eid mosi,BUZURUGA PLAZA kuanzia saa 1jioni hadi choka mbaya.Jukwaa likiwasha moto na @sir_nature @harmorapatz1 @majani187 @futurejnl_official @iamjimmychansa @ngeta_tz @wa_lakezonia @dogodeedanger @medy_molin #LakeFM #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo #Mwanza
R.I.P to one of my biggest Hip Hop influences. Stole your rap style and even tattooed the mobb deep dragon on my Right hand in 95!!!! @prodigymobbdeep
102.5 @lakefmmwanza inakuletea RAHA YA ROCKCITY CONCERT kwa mara ya kwanza Mwanza! Jukwaa litashambuliwa na @vanessamdee @sir_nature @harmorapatz1 @futurejnl_official @iamjimmychansa, Ngeta, Dogo D na Lakezonia. Tukutane Eid Mosi pale Buzuruga Plaza kwanzia saa moja usiku! #LakeFM #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo #Mwanza

#Repost @katrina_alegra with @repostapp ・・・ Happy Papa's Day 😘 @majani187 Love You
Sunday Workout. Trying to get in shape for the new video's!!! πŸ’ͺ🏽I still got it after 7 months of no workout. #dreambig #godisgreat
#Repost @mrttouchez with @repostapp ・・・ Hivi ni nini kinaenda kutokea @majani187 #parazobeats #noonebutisgod
Had a good session with @princedullysykes & @marthajosephofficial blessing me with some harmonies.
United we stand divided we fall @mrttouchez @harmorapatz1 @officialronei
#Repost @bongolostz with @repostapp ・・・ Umepata nafasi ya kusikiliza WAPE? kama bado bofya link kwenye bio fastaaaa. Kwa umakini mkubwa Godfather anasikiliza goma jipya. Uko tayari? πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ #Bongolos #NewMusic #NewWave #BongoRecords
#Repost @bongolostz with @repostapp ・・・ It's all about giving the people good music. / Tuko studio kutengeneza muziki mzuri kwa ajili yenu. 🎹🎧🎀 #Bongolos #BongoRecords #NewMusic #NewWave 😎 Sikiliza na angalia WAPE kwa kubonyeza link kwenye bio.
Session in progress @harmorapatz1 @bongolostz & @soggydoggyanter click the link on my bio or https://youtu.be/7tk8vMtumsw
@officialronei featured on #Nundu and #Kideo bout to come out with this own tracks. 🚨🚨To all you beautiful vixens DM to get a chance to be in his new video's.🚨🚨
#Top10 Bongo Flava Ya EATV usikose Jumaosi Hii saa 1:00 usiku kuna mengi mazuri, utajua ni ngoma gani za Bongo Flava zinazofanya poa zaidi kwasasa. @dicksonmsami cc @jayrjunior
I Would like to wish my grand daughter a Happy Birthday🎁🎊. May Allah Bless you with all your needsπŸ™πŸ½ to excel in life. Cc @tamu.187 @bongolostz
TUNATOA KIKI BILA USHURU!! wakali ya hizi kazi and your mummy's favorite bball shine givers @bballkitaa we are back, word to mgongo! Ni lile ishu la kikubwa #GameOfZones2017 limerudi tena. KUNA PUNDA NA FARASI. KAZI ILE ILE ILA MAUTUNDU TOFAUTI!! STAY Ready coz we about KUTOA KIKI BILA USHURU!! TAG YOUR ZONE, TAG YOUR HERO NA UKIPENDA TAG YOUR BAE! #GameOfZones2017 #WabayaWaHayaMambo #TunatoaKikiBilaUshuru #YourMumsFavBballTournament #KunaPundaNaKunaFarasi
Let's all wish @tidmusic a Happy Birthday. May Allah bless you with Good Health, Happiness and lots of Success.
#BrandNewTzAudio straight outta @bongorecords Download #WAPE Audio HAPA @mkitodotcom πŸ‘‡πŸΎ https://mkito.com/song/16702 Ngoma ya Kundi la @bongolostz produced by @majani187 na HAPA kuitizama Official Video πŸ‘‡πŸΎ https://youtu.be/7tk8vMtumsw Follow @bongolostz ( @drew_elly & @tamu.187) ft @asteriaofficialtz by @majani187 Directed by @karabani #InfoPoweredBy #KwanzaPromo #TeamKaskazi @kwanzapromo @teamkaskazi kwanzanetworks.com @djhazuupromo @djhazuu djhazuu.com #SapotiNyumbani