Siku zote dhahabu inazaliwa na dhahabu na si vinginevyo. Hii iende kwa malkia mwenyewe @aikanavykenzo aka Mama Kijacho, Skia nikuambie ki2 mtoto mzuri fanya unachotaka kufanya ktk huu muziki maana mitaa imeshakupa Visa Cc @nahreel #alwatankasema #semandiwooo

Comments
 • Kihesa iringa wewe wasema nahrili pamoja sana mpaka tamati
  07-Dec-2017 18:12:52 PM
 • Oyooo sanaaa mkali damu Yangu alwatani kasema eee ndiwoo ndiwoo ndiwoo
  07-Dec-2017 18:13:16 PM
 • Oyeaaa time ndiwoo ndiwoo golila mkono
  07-Dec-2017 18:13:50 PM
 • Ndiwoo
  07-Dec-2017 18:56:41 PM
 • Yan nawe umo eeh @jrjuniortz
  08-Dec-2017 14:57:37 PM
 • 08-Dec-2017 18:45:23 PM
Trending Posts