Kama ningekua na nafasi ya kupanga Top 5 yangu ya 10 za maangamizi ningekupa no 1 Home Boy. Tanga City nyumbani kwa magwiji wa hii tasnia..!!! @Boshoo_ze_son #alwatankasema #semandiwooo

Comments
 • 🙌🙌🙌🙌sina jambo
  05-Dec-2017 14:28:55 PM
 • Noma sana
  05-Dec-2017 14:39:13 PM
 • 05-Dec-2017 14:54:03 PM
 • Namba 1 @pmawenge
  05-Dec-2017 15:01:17 PM
 • daaaah huyu jamaaa nyoko aseee
  05-Dec-2017 15:03:01 PM
 • shadaaaa boy korogwe stand up
  05-Dec-2017 15:05:37 PM
 • Kauwaaaaa sanAa
  05-Dec-2017 15:20:48 PM
 • 🔥🔥🔥love city bado Mimi kaka @jrjuniortz
  05-Dec-2017 15:42:07 PM
 • 🙌
  05-Dec-2017 15:51:03 PM
 • Mchiz mbaya sn
  05-Dec-2017 15:56:01 PM
 • Noomaaa sanaaaaa
  05-Dec-2017 16:01:40 PM
 • Jamaa aliua
  05-Dec-2017 16:05:32 PM
 • Tuleteeni Watu Kama hawa Mzee Sio Mnaleta Watu Wanakuja Kuongea TU badala Ya Kuangamiza Dakika Kumi!!Huyu Jamaa Na scoda ni nomaa
  05-Dec-2017 16:20:36 PM
 • Budaa katsha sanaaaaa!
  05-Dec-2017 16:50:09 PM
 • Noma sn arifuu
  05-Dec-2017 17:13:54 PM
 • Ninjaaaaaa🔥🔥🔥
  05-Dec-2017 17:19:06 PM
 • NinjaMichano #TANGA BoY🔥🔥
  05-Dec-2017 17:23:53 PM
 • Msaidieni huyu msela bonge la mc
  05-Dec-2017 17:56:46 PM
 • @official_rotilda huyu cjamsklzaa ngojaa nimwekee bando ntakupaa majibu
  05-Dec-2017 17:58:50 PM
 • @official_rotilda semaa nampataa mwambaa anashindaa sanaa openmic ya fidq
  05-Dec-2017 17:59:39 PM
 • Katishaaaaaaaaaaaaa
  05-Dec-2017 18:17:12 PM
 • Katishaaaaaaa ... Nimempnda bureee @boshoo_ze_son
  05-Dec-2017 18:19:36 PM
 • Hizii ni dk kumi za maangamizii kaliii tangu hiii segment ianzeeee
  05-Dec-2017 18:21:13 PM
 • 🙌🙌🙌🙌weweeeeeee hawa ndo tunawataka msituletee wanao froo wowo hapo angamizaaaa hzo dakika 10
  05-Dec-2017 18:29:40 PM
 • Oooiii fifi vp midad hyoo vp hiiihiiihiiii
  05-Dec-2017 19:08:15 PM
 • Dope 1 since mangamiz yaanze ..
  05-Dec-2017 19:24:50 PM
 • Jamaa anajua mpaka anaboa
  05-Dec-2017 20:29:36 PM
 • Dogo umetisha watu nkama nyinyi nmekubali
  05-Dec-2017 22:25:51 PM
 • Duuuu...noumaa
  05-Dec-2017 23:05:30 PM
 • Katisha kuliko wote waliopita anastahili no 1
  06-Dec-2017 04:59:57 AM
 • Huyo ni adui @Bosho_ze_son kirikiri Korogwe Tanga
  06-Dec-2017 05:04:43 AM
 • amani sanaa kaka mungu wabariki nashukuru sanaaa kwa support hom boy
  06-Dec-2017 05:24:26 AM
 • Madem wanataka pesa sio bamia wala mashine umizaaaaaaa
  06-Dec-2017 08:51:34 AM
 • Jamaaa anajua mbaka shida @boshoo_ze_son Mungu akuweke aise yani da natamani niwe Kama wewe ila ndo hivyo tena Mungu kanipa kipaji cha Kuwa Shabiki tu
  06-Dec-2017 15:46:39 PM
 • Jr
  06-Dec-2017 15:48:17 PM
 • lete hawa sasa kadgo,dizastavina,sterio,raff mc huyo boshow kaharibu hali ya hewa
  07-Dec-2017 03:05:32 AM
 • @skillz_tz yupo haidar scoda na climaxx bibo
  07-Dec-2017 03:43:49 AM
 • 07-Dec-2017 06:19:31 AM
 • Brooo namba fuuu
  09-Dec-2017 22:21:42 PM
 • Nooooumaaaaa
  18-Dec-2017 13:01:02 PM
Trending Posts