Daa huyu @bekaflavour kama tutampa nafasi sawa na wanayopewa wengine basi historia itamueka miongoni mwa wasanii bora kabisa kuwahi kutolea Bongo..!! #alwatankasema #semandiwooo

Comments
 • True
  29-Nov-2017 14:37:28 PM
 • Duuuh ngoma kama jrjunio @sema ndiwooooooo @alwatankasema
  29-Nov-2017 14:39:54 PM
 • Ngoma kali jrjunio
  29-Nov-2017 14:40:07 PM
 • Jr mbona neno sarafina limekubamba sana ngoja nimuuliza adesa au jina unakumbuka mtoto fulan wa kitambo?
  29-Nov-2017 15:24:11 PM
 • Hatari sana
  29-Nov-2017 19:00:57 PM
 • Wakuitaga #juma_masemo_jr
  30-Nov-2017 07:46:57 AM
 • Nomaa sana Dogo anaimba sanaa lakini promo wanapewa wangine #aliwatankasema siooo poaaa kabisaaa
  01-Dec-2017 07:15:47 AM
Trending Posts