katarina wa karatu

katarina wa karatu @katarina_karatu


Huu mwezi hata tuliofunga kizazi tunafuturu tu πŸ˜‚ @maasai_is_my_pride @vickie_le_cute tunamsindikiza buraza @makonaay
Mimi kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi Katarina, Salim Bahresa, Reginald Mengi, Mohammed Enterprises @official_hdwilly na Dangote-tunawatakia RAMADHAN NJEMA
Kwa huduma za ujenzi, viwanja, ramani na vifaa vya ujenzi tafadhali wacheki @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder @themibuilder utapata kuelewa gharama za ujenzi, namna ya kuzipunguza na mengineyo mengi. Karibu follow @themibuilder @themibuilder @themibuilder Au Wapigie / whatsapp 0743148470, themibuilder @gmail.com
Ninawategemea sana kwa ushauri jamani msinifanyie haya mambo @vickie_le_cute @haleyclassic @maasai_is_my_pride @ishahusein @didaaa_akeee_ @zacky_baby November 2017 harusi yanguπŸ™ˆ
Goodnight pipoz😍
Happy birthday @hamisi_a_masudi πŸ˜β€πŸ’‹πŸŽ‚πŸŽ
Nasikia Manchester United wameingia UEFA kwa ticket ya Ladies Free! πŸ˜‚πŸ™ˆπŸ˜‚πŸ™ˆπŸ˜‚πŸ‘πŸΎπŸ»
Kuna wanaume wana hila kama Jasho la kwapa yaani hata akiamka hasalimii akishavaa hata kusema naenda hasemi viatu na shati anaenda fungia kwenye gari ataweza kumbusu mke sasa yaani kama alilazimishwa kuoa sasa hawa ajali zao zinaanzaga mapema kujibana na zipu ya surualiπŸ˜‚ mara ajibane na mlango wa gari wengine kusahau Kinga mfukoni (mndoco)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
😑😑
πŸ˜™
Moreen nakupenda jamani Naumia ulale salama mpnz😒