Harmorapa

Harmorapa @harmorapatz1

https://youtu.be/7ZuLsAzVR9E

Nakutakia usiku mwema boss lady wangu @ivual @sabukaglass @sgs_sabuka_music #NUNDULINKonMYbio
Aiseee #napendwaSANA we endelea kunichukia tu mwenzio nishaandikiwa kupendwa na Muumba #NAPENDWAhadiNAJIhisiNINAkaunduguKAKUUNGAnaMKUBWAwa........... #NUNDULINKonMYbio
MIMI NDO MSANII NAMBA 1 NNAE PENDWA KWA SASA ZANZIBARI SIO MANENO YANGU NI MANENO YA WANANCHI WA ZANZIBARI PAMOJA NA VYOMBO VYA HABARI VYA ZENJI #JANAnilisepaNAKIJIJI #KUBWAlaMANYANI @sabukaglass @sgs_sabuka_music #NUNDULINKonMYbio
Asante sana #zanzibar kwa mapokezi mazur @miminawewe #NUNDU _linkonmybio @sabukaglass @sgs_sabuka_music
Habari za weekend @sabukaglass team kazi @sgs_sabuka_music #NUNDULINKonMYbio
Game yetu imebadilika sanaπŸ“ΌπŸ’ΏπŸ“€. Siku hizi imekua biashara mpaka kupelekea mabadiliko makubwa ya kimaisha πŸ‘πŸ‘ kwa wasanii, ma Producer na hata ma Manager wao. Kila kitu unachokiona siku hizi kama wasanii wetu kutumbuiza Kwenye majukwaa makubwa 🎀🎺🎡🎸 na kutoa ushindani mkubwa πŸ’ͺπŸ’ͺ kwa wasanii watokao nchi za nje yote haya yanachimbuko lake🎼🎢. Leo Kwenye heshima ya Bongo Fleva tupo na Baba mlezi wa Game yetu kutoka Bongo Records @jrjuniortz na @dullahplanet tunamleta kwenu P Funk Majani @majani187 πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ na utafahamu kuanzia uanzilishi wa Bongo Records mpaka leo hii anafanya Kazi na @harmorapatz1 pa1 na @bongolostz . Tune planet 🌎🌏🌍 Bongo 13:00-16:00hrs msanue na mwanao afu wana wote tukutane hapo #semandiwooo #usifositufanane @sabukaglass @Sgs_sabuka_music #nundulinkonmybio
GENERAL _SABUKA SUPLIER_ * SGS * SELLERS OF SPARE OF NISSAN GENUINE & Auto Glass ALL TYPES. We are available SWAHILI NA RUFUJI Kariakoo. CONTACT FOR TAKE NO: 0713 390 222, 0713 550 560, @sabukaglass @sgs_sabuka_music #NUNDULINKonMYbio