AmbuA

AmbuA @dullahplanet

http://www.youtube.com/wazotv

Dunia Tambara Bovu Wanangu... Ujana Giza na Nuru.. #Shtukaaaaa
Iiivyo yaani...Pitia link kwenye #Bio yangu uone kila kilichofanyika leo..
"Bongo Bahati Mbaya"
#Relax na Jioni Njema
#Planetbongo tunaomba mashabiki wetu na wa muziki wa Tanzania kiujumla kumuweka kwenye sala zetu Msanii/Producer wa kundi la #SSK @cjamokertz apate nafuu mapema.🙏🙏 Amefanyiwa operesheni mara 3 kwasababu ya matatizo ndani ya Tumbo. #GetWellSoonCjamoker
Si hivi ndivyo mlisema wanangu???sasa fanya kusikiliza #eastafricaradio tukutane pale #Planetbongo saa7mchana leo
"Eneo La Tukio" #PlanetBongo #EastAfricaRadio
Tuliongea mengi sana..katulie nayo uicheki yote #Youtube. Usisahau kubonyeza #Subscribe ili zikufikie mapema kila zinapowekwa.. #iiivyo
Kama hujapata Notification kuhusu hii basi utakuwa huja Subscribe.. Fanya hivyo kupitia link kwenye #Bio yangu ukaitazame hii na nyingine kibao... #WazoTv
Weekend Njema #MaMaTammy
Happy Birth Day bro... Hongera Kwa Kazi Nzuri @ahmedabdallah05