B O N G O L O S

B O N G O L O S @bongolostz

Drew & Tamu Bongo Records New video #WAPE Ft. Asteria (Prod. P-Funk Majani) available on the link below 👇🏽👇🏽👇🏽 Facebook & Twitter: @bongolostz
https://youtu.be/7tk8vMtumsw

Sio Wabongooo tu mbaka Wachina na wazungu wanaruka na WAPE. #wape Link on my bio
Tunaifanya vile haijawahi fanyika, Lake FM 102.5 Mwanza @lakefmmwanza inakuletea JUMA NATURE, P FUNK, HARMORAPA kwenye jukwaa la RAHAYAROCKCITY CONCERT kwa mara ya kwanza ndani ya jiji la miamba.Siku ya Eid mosi,BUZURUGA PLAZA kuanzia saa 1jioni hadi choka mbaya.Jukwaa likiwasha moto na @sir_nature @harmorapatz1 @majani187 @futurejnl_official @iamjimmychansa @ngeta_tz @wa_lakezonia @dogodeedanger @medy_molin #LakeFM #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo #Mwanza
It's all about giving the people good music. / Tuko studio kutengeneza muziki mzuri kwa ajili yenu. 🎹🎧🎤 #Bongolos #BongoRecords #NewMusic #NewWave 😎 Sikiliza na angalia WAPE kwa kubonyeza link kwenye bio.
Umepata nafasi ya kusikiliza WAPE? kama bado bofya link kwenye bio fastaaaa. Kwa umakini mkubwa Godfather anasikiliza goma jipya. Uko tayari? 🔥🔥🔥 #Bongolos #NewMusic #NewWave #BongoRecords
Kwa kuniangalia unadhani na RAP au NAIMBA? 😂 @tamu.187 #Goddess
@tamu.187 listening to her vocals clearly. #NoMistakes #NewMusic #NewWave 🌊 #BadnBoujie
Late night session #NewMusic #NewWave / Bado tuko studio tunatayarisha mziki mzuuuuuriii kwa ajili yako. 🔥🔥 BONGOLOS 🙏
@adamchomvu fanya kutazama kichupa kikali kwa kwenda kwenye bio ya Baba Johniiiii
Mapema leo @harmorapatz1 na @soggydoggyanter wakiwa session Bongo Records na Mastermind @majani187 #WapeVideo #Wape Tazama video ya WAPE kwa kubonyeza link kwenye bio.
#Top10 Bongo Flava Ya EATV usikose Jumaosi Hii saa 1:00 usiku kuna mengi mazuri, utajua ni ngoma gani za Bongo Flava zinazofanya poa zaidi kwasasa. @dicksonmsami cc @jayrjunior
Girls Time. ❤❤ @tamu.187 X @gitah_sekibasa #WAPE #Wapevideo #Wapemediatour Tazama video ya wape kwa bofya link kwenye bio 🔥🔥🔥 #Mistari gani umeipenda zaidi???
Tabasamu! kwa pamoja tunawatakia mfungo mwema. #Wapevideo #WAPE #Wapemediatour Cc: @majani187 @drew_elly @tamu.187 @jo_conscious @gitah_sekibasa Tazama video ya wape kwa kubonyeza link kwenye bio au kwenda youtube na kuandika WAPE 🔥🔥🔥
mapema leo jioni ndani ya TBC International kwenye BASE100 na @gitah_sekibasa @jo_conscious . Nashukuru sana wote kwa support mnayotupatia. 🙏🙏 #WAPE #Wapemediatour #Wapevideo Unaweza tazama video ya WAPE kwa kubofya link kwenye bio.
#BrandNewTzAudio straight outta @bongorecords Download #WAPE Audio HAPA @mkitodotcom 👇🏾 https://mkito.com/song/16702 Ngoma ya Kundi la @bongolostz produced by @majani187 na HAPA kuitizama Official Video 👇🏾 https://youtu.be/7tk8vMtumsw Follow @bongolostz ( @drew_elly & @tamu.187) ft @asteriaofficialtz by @majani187 Directed by @karabani #InfoPoweredBy #KwanzaPromo #TeamKaskazi @kwanzapromo @teamkaskazi kwanzanetworks.com @djhazuupromo @djhazuu djhazuu.com #SapotiNyumbani

Siku mpya ni fursa ya kufikia malengo yako #GoodMorning Link kwenye bio kutazama video ya #WAPE
Je, umetazama video yetu ya #WAPE??? Kama bado, bofya link kwenye bio hapo juu 👆👆👆
Kwaniaba ya familia nzima ya Bongo Records nawatakia mchana mwema woooootee ❤❤❤ show love kwa kucomment mistari uipendayo kwenye nyimbo yetu ya #WAPE Link juu kwenye bio kuitazama video. 👆👆😘😅