AnnaPeter

AnnaPeter @anapitatz

BroadcastJournalist |Artist Contact: anapitaa27@gmail.com
http://www.anapita.com/

Helo sunday Soup soup... -broccol -carrot -Hoho(bell pepper) -garlic(swaumu) -kitunguu maji(onion) -coconut milk(nazi) -viazi vitamu(sweet potato) #ukovileunavyokula #afyayakochaguolako #healthyeating #healthyfood #cleaneating #anapitajikoni
Fresh fish aliyeokwa kwenye oven na vegetable #cleaneating #ukovileunavyokula #afyayakochaguolako #anapitajikoni
Happy birthday to ma lovely brother Baraka Peter @blake_255 .God bless ur hustle and wishing u a healthy life.Nakupenda sana❤🎂 #fam
Dude jipya la chalii ya R @j4cinyo bango linajieleza jinsi ya kuipata🎶
Cha nyumbani..mash potato na samaki na mboga zilizopikwa kwenye foil. -baby broccol -Hoho/bell pepper -nyanya/tomato -kitunguu/onion -samaki mbichi -viazi -samaki Kama unaoven unaweza ukachanganya mboga na samaki kwenye foil ukaibana vizuri baada yakuweka viuongo unavyopenda/kuiseason then ukabake for 20mins #ukovileunavyokula #afyayakochaguolako #anapitajikoni
Enjoy ur day mdogo wangu @barnabaclassic .May God bless ur hustle🙏
Kila kheri majirani na ndugu zangu pia+254.Amani na upendo utawale mmalize salama🙏
Happy farmers day/sikukuu ya wakulima.Asanteni kwa kutulisha na kufanya hata tulioko mijini kula vitu fresh/ogiiii.Hongereni wote mnaojitahidi kutokutumia chemical hatarii zenye madhara kwa binadamu kwenye matunda,mboga,kulisha kuku,ng'ombe n.k.Sema mlioko town badala ya kutafuta nyumba zenye sehemu yakupark gari,tuwe tunauliza hata kasehemu kakupanda mchicha na mbogamboga au tupande kwenye container ili kupata fresh veg ambazo wataalamu wa afya wanashauri zijaze sahani zetu. #ukovileunavyokula #afyayakochaguolako #anapitagarden #anapitafreshfood
Heriii ya sikuyakuzaliwa chaliii ya R. Mwenyezi Mungu aendelee kubariki hustle zako sikuzote na kutimiza malengo yako @nikkwapili 🎂🎶
Japo nimechelewa lakin sio kesi...happy belated birthday mdogo wangu mtangazajii matata aka mdogo wake lil uziiiii @fridaamaniofficial .Mwenyezi Mungu azidi kutimiza ndoto zako🙏🎂
Pre workout/breakfast smoothie -Almond -Ndizi mbivu -Celery -Carrot -Strawberry -Cucumber/Tango -maji robo glass Blend pamoja kunywa hapo hapo bila kuchuja.Ukinywa kabla ya mazoezi inaboost energy, na kama unakunywa kama breakfast inashibisha hivyo utasikia njaa mara kwa mara hivyo kupunguza uzito au kumaintain.Pia inasaidia ngozi na mazaga mengine mwili #afyayakochaguolako #ukovileunavyokula #healthysmoothie
Homemade plain yogurt/mtindi mzito uliotengenezwa nyumbani #anapitajikoni #yogurtbowl #healthyfood #healthyeating #ukovileunavyokula
@Regrann from @mesisisi_fashion - Good morning Queens and Kings Available order urs or her's now #headwrap #beyourownkindofbeautiful
Home baking #enthusiasticbaker Orange,cinnamon,coconut cake(Keki ya machungwa,mdalasini na Nazi) #anapitajikoni
Happy belated birthday kwa moja ya wasanii ambao ni mfano wa kuigwa kwa nidhamu ya kiwango cha phd @aytanzania maisha marefu broo🎂🎶
Enjoy ur day aarif @ramadeeofficial miaka kibao na baraka tele
#Zinazokikibongo #Mistari hewani mida hii TBC1🎵📺❤